Ndugu Wawakilishi,
Uongozi wa M. R. T SACCOS LTD unapenda kuwataarifu wawakilishi wote kwamba Mkutano Mkuu wa (29) wa Chama uliopangwa kufanyika Tarehe 03.10.2026 umeahirishwa kutokana na zoezi la Kazi Maalumu ya Serikali. Aidha Mkutano huo utafanyika Tarehe 10.10.2026 Siku ya Jumamosi saa 2:00 asubuhi katika Ukumbi wa CWT Majengo, Moshi Mjini. Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza kutokana na mabadiliko haya.
Imetolewa na:
UONGOZI WA MRT SACCOS LTD
Tarehe: 30.09.2026
Simu: (Free Call) 0800 750 454 / WhatsApp 0723 161 162
“MRT SACCOS TABASUMU LA MAFANIKIO”
Secure your financial future. Apply online today!